Maktaba ya Mwezi: July 2020

NATAKA KUWATHIBITISHIA WANANCHI NA WANACCM HAKUNA MTU YEYOTE ALIYETUMWA NA MIMI – RAIS DKT MAGUFULI

“Na nataka kuwathibitishia wananchi wanaccm hakuna mtu yeyote aliyetumwa na mimi, hakuna mtu yeyote aliyetumwa na Makamu wa Rais na hakuna mtu yeyote aliyetumwa na Waziri Mkuu, hakuna mtu yoyote aliyetumwa na Mzee Mangula, hakuna mtu yoyote aliyetumwa na Katibu Mkuu Dkt. Bashiru kwahiyo kama yupo mtu yoyote anayezungumza mimi …

Soma zaidi »

USICHOKE KUTULEA SISI VIJANA TUNA MIHEMKO MIKUBWA – MKUU WA MKOA WA MBEYA CHALAMILA

Alichozungumza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila Ikulu Chamwino,jijini Dodoma julai 16, 2020 “Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nifurahi kidogo kwa kupewa nafasi hii kuwa mmoja wa wazungumzaji wa kutoa neno kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa waliohudhuria hii leo” “Mhe Rais nimepewa jina hivi karibuni …

Soma zaidi »

RAI YANGU KWA WANANCHI WATANZANIA TUUNGANE TUWE KITU KIMOJA – WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZEGO PINDA

Alichozungumza Waziri Mkuu Mstaafu Mizego Pinda akiwa Ikulu Chamwino jijini Dodoma, Julai 12, 2020 “Mhe Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, Waheshimiwa Viongozi wote wa meza kuu, Mhe. Rais nimepewa nafasi hii kwanza nishukuru sidhani kama nilistahili lakini niseme mambo mawili” “jambo la kwanza Mhe. …

Soma zaidi »

NEC INATARAJIA KUTANGAZA HIVI KARIBUNI MABADILIKO YA MAJINA KWA BAADHI YA MAJIMBO

Janeth Raphael, Michuzi TV Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kutangaza hivi karibuni mabadiliko ya majina kwa baadhi ya majimbo, huku akisema kuwa inatarajia kutoa ajira kwa watu 390,824 watakaoshiriki usimamizi wake kwenye vituo 75,000. Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera, aliyasema hayo jana …

Soma zaidi »

JNIA WAPATIWA MAFUNZO YA UTAYARI WA KUPOKEA WATALII

Mkurugenzi wa Udhibiti wa Uchumi kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TCAA), Bw. Danny Mallanga ( kushoto) akimweleza jambo Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utayari wa kupokea watalii watumishi wa taasisi zinazotoa huduma katika uwanja …

Soma zaidi »

WANAWAKE WATAKIWA KUTOKUBALI KUTUMIWA NA WANASIASA KUVURUGA AMANI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama amewaasa wanawake kutokubali kutumiwa na vyama vya siasa kama mawakala Waziri Mhagama ametoa wito huo jijini Dodoma wakati akizungumza na umoja wa wanawake viongozi wa vyama vya siasa nchini …

Soma zaidi »

NCHIZA SADC ZATAKIWA KUPAMBANA NA UGAIDI NA UTAKATISHAJI FEDHA HARAMU

Na Farida Ramadhani, Dar es Salaam Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimeshauriwa kuunganisha nguvu zao kupambana na changamoto ya utakatishaji fedha haramu na ufadhili wa makundi ya kigaidi zinazotishia usalama na kuharibu uchumi wa nchi hizo  . Ushauri huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara …

Soma zaidi »

WAKULIMA MBINGU KILOMBERO WANUFAIKA NA UWEZESHAJI WA KILIMO CHA KOKOA

Na Mwandishi Ifakara Wakulima wa zao la Kokoa Mbingu Wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamenufaika na uwezeshaji kutoka Shirika la Africa WildLife lililowezesha kuongeza thamani ya zao la Kokoa kutoka kuandaa miche mpaka uzalishaji. Hayo yamebainishwa na wanufaika hao wakati wa zoezi la ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na Mashirika …

Soma zaidi »