Serikali yaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la ghorofa 17 za ofisi ya Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) unaoendelea kufanyika mkoani Arusha Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula ambapo jana alitembelea na kukagua maendeleo …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: August 2020
CHUO CHA MADINI KUWA SEHEMU YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Picha ya pamoja ya kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Nzega (kushoto), VIongozi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam (katikati) na wafanyakazi wa Wizara ya Madini (kulia) wakisikiliza wakati wa hafla ya kukabidhi Chuo cha Madini (MRI) kulelewa na UDSM katika hafla iliyofanyika Agosti 19, 2020 Kampasi ya …
Soma zaidi »SERIKALI IMEPOKEA GAWIO LA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 15.2
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mpango (katikati), akipokea mfano wa hundi kwa niaba ya Serikali yenye thamani ya Sh. Bilioni 15.2 ikiwa ni gawio kutoka kwa Benki ya NMB, wa pili kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AISHUKIA HALMASHAURI YA USHETU KUSHINDWA KUTOA HATI KWA MIAKA MINNE
Na Munir Shemweta, WANMM USHETU Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameshangazwa na halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga kushindwa kutoa Hati ya Ardhi hata moja kwa wananchi katika kipindi cha miaka minne. Dkt Mabula alishangazwa na hali hiyo akiwa katika ziara yake ya kikazi …
Soma zaidi »DC CHONGOLO ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA STANDI YA DALADALA MWENGE
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amesema kuwa ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Stendi ya kisasa ya Daladala ya Mwenge inayojengwa kwa kiasi cha Shilingili Bilioni tano fedha zinazotokana na makusanyo ya ndani ya Manispaa hiyo. Chongolo ametoa kauli hiyo leo wakati alipofanya ziara yake ikiwa ni muendelezo …
Soma zaidi »SERIKALI YAUNDA TIMU MAALUM KUMSIMAMIA MKANDARASI WA REA KILIMANJARO
Veronica Simba – Kilimanjaro Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameunda Timu maalumu inayojumuisha wataalamu mbalimbali wa Serikali ili kumsimamia Mkandarasi anayetekeleza miradi ya umeme vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Alitangaza uamuzi huo katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kitongoji cha Kambi ya Nyuki, wilayani Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Agosti …
Soma zaidi »KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM KINAENDELEA LEO, IKULU CHAMWINO DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea Ikulu Chamwino Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti …
Soma zaidi »MKURUGENZI MTENDAJI HESLB ATAKA BIDII, MAARIFA NA NIDHAMU KATIKA UTOAJI HUDUMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru amewataka watumishi wa Ofisi hiyo kufanya kazi kwa bidi, maarifa na nidhamu kwa wateja wake ili kukidhi matarajio ya utoaji huduma bora kwa wanafunzi waombaji na warejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu nchini. Akizingumza …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU: WATANZANIA TUBADILIKE, TUJIVUNIE VYETU
Akagua mradi wa kiwanda cha sukari na shamba la miwa Bagamoyo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wabadilike na wajifunze kujivunia kilicho chao. “Lazima tubadilike Watanzania, tuwe wazalendo, tukisemee kitu chetu, tujivunie kitu chetu na tujivunie ujuzi tulionao,” amesema. Ametoa wito huo (Jumanne Agosti 18, 2020) wakati akizungumza na viongozi …
Soma zaidi »KUWENI WABUNIFU MUWEZE KUJIAJIRI – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wanaohitimu masomo nchini wasikae majumbani na badala yake watumie elimu yao kubuni namna ya kujiajiri. “Lazima tubadilike ili wahitimu wasisubiri kazi za masomo. Ukimaliza masomo, tumia ujuzi wako kuona unaweza vipi kujiajiri,” alisema. Ametoa wito huo jana jioni (Jumatatu, Agosti 17, 2020) wakati akizungumza …
Soma zaidi »