Maktaba ya Mwezi: September 2018

LATE LIVE: WAZIRI MKUU AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KISHA WANANCHI WA UKARA

Aelezea agizo la Mhe. Rais kuhusu kutangazwa kwa tenda ya haraka sana kujengwa kwa kivuko kikubwa kitakachokuwa kikitoa huduma eneo la Ukara Azungumza na wanachi na kuwasihi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Awaahidi kuwa rambirambi zote zinazokusanywa na serikali, zitakuwa za wafiwa na kiasi kidogo kuwa sehemu …

Soma zaidi »

Jumla ya miili 224 imeopolewa hadi sasa mkasa wa MV Nyerere

Serikali itaunda tume ya uchunguzi itakayohusisha timu ya wataalamu na vyombo ya dola, kuhakikisha chanzo cha ajali kinatambulika. Jumla ya miili 224 imeopolewa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa uchukuzi mhandisi Isack Kamwelwe. Maafisa wote wanaohusika na uendeshaji wa kivuko wamekamatwa na wanahojiwa kwa uchunguzi. Mazishi yataendelea kufanyika …

Soma zaidi »

RAIS DR. SHEIN; suala la elimu bure ni utekelezaji wa ilani ya ASP na hivi sasa CCM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa azma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kutangaza elimu bure kwa watoto wa Zanzibar bila ubaguzi ilikuwa ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha ASP ambayo inaendelea kutekelezwa hadi hivi leo. Dk. Shein …

Soma zaidi »