Maktaba ya Mwezi: March 2019

UJENZI WA TEMINARL III WAFIKIA ASILIMIA 95

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) na kusema ameridhishwa hatua iliyofikiwa. Mradi wa ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 95 na unatarajiwa kukamilika Mei 30, mwaka huu ambapo hadi sasa tayari maeneo …

Soma zaidi »

PROF. KABUDI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA “DEFEND DEFENDERS” GENEVA, USWISI

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya “Defend Defenders” Bw. Hassan Shire na Bw. Nicolas Agostini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Geneva nchini Uswisi wakati wa Kikao …

Soma zaidi »

MAAFISA UTAMADUNI KUONGEZEWA BAJETI – JAFO

Waziri   wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Seleman Jaffo amewaagiza Wakuu wa Mikoa  na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote nchini kuwawezesha Maafisa Utamaduni kwa kuwaongezea Bajeti itakayowawezesha kutimiza majukumu yao kwa ufasaha. Agizo hilo amelitoa Jijini Dodoma wakati alipokuwa akifunga Kikao Kazi  cha …

Soma zaidi »