Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akikata utepe muda mfupi baada ya Ndege ya Air Tanzania Boing 787-8 Drealiner kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji, Mumbai nchini India alfajiri ya leo Julai 18, 2019. Ndege hiyo imeanza safari yake ya kwanza ya kutoka nje ya bara la Afrika huku zingine zikitazamiwa siku za mbeleni. Hii ni safari ya sita kwa safari za kimataifa kwa Ndege za Air Tanzania.

AIR TANZANIA YATUA MUMBAI, INDIA

KK 1-01
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akikata keki wakati wa hafla fupi ya baada ya kutua Mumbai nchini India kwa ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Ndege ya kwanza ya Air Tanzania imeondoka Julai 17, 2019 kuelekea Mumbai, nchini India.
KK 2-01
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akifurahi baada ya Ndege ya Air Tanzania Boing 787-8 Drealiner kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji, Mumbai nchini India alfajiri ya leo Julai 18, 2019. Ndege hiyo imeanza safari yake ya kwanza ya kutoka nje ya bara la Afrika huku zingine zikitazamiwa siku za mbeleni. Hii ni safari ya sita kwa safari za kimataifa kwa Ndege za Air Tanzania.
KK 3-01
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akikata utepe baada  ya kutua  Mumbai nchini India kwa ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Ndege ya kwanza ya Air Tanzania imeondoka Julai 17, 2019 kuelekea Mumbai, nchini India.
KK 4-01

KK 5-01
Wafanyakazi wa Air Tanzania
KK 7-01
Abiria wakiwa ndani ya ndege kwa safari ya kulekea Mumbai nchini India kwa ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Ndege ya kwanza ya Air Tanzania imeondoka Julai 17, 2019 kuelekea Mumbai, nchini India.
KK 8-01

KK 9-01

KK 11-01
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akikata utepe muda mfupi baada ya Ndege ya Air Tanzania Boing 787-8 Drealiner kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji, Mumbai nchini India alfajiri ya leo Julai 18, 2019. Ndege hiyo imeanza safari yake ya kwanza ya kutoka nje ya bara la Afrika huku zingine zikitazamiwa siku za mbeleni. Hii ni safari ya sita kwa safari za kimataifa kwa Ndege za Air Tanzania.
KK 12-01
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akiwa aliyesimama wakati wa safari ya kuelekea Mumbai nchini India kwa ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Ndege ya kwanza ya Air Tanzania imeondoka Julai 17, 2019 kuelekea Mumbai, nchini India.
KK 14-01
Mapokezi ya Air Tanzania muda mfupi baada ya Ndege ya Air Tanzania Boing 787-8 Drealiner kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji, Mumbai nchini India alfajiri ya leo Julai 18, 2019. Ndege hiyo imeanza safari yake ya kwanza ya kutoka nje ya bara la Afrika huku zingine zikitazamiwa siku za mbeleni. Hii ni safari ya sita kwa safari za kimataifa kwa Ndege za Air Tanzania.
KK 13-01
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akivalishwa taji muda mfupi baada ya Ndege ya Air Tanzania Boing 787-8 Drealiner kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji, Mumbai nchini India alfajiri ya leo Julai 18, 2019. Ndege hiyo imeanza safari yake ya kwanza ya kutoka nje ya bara la Afrika huku zingine zikitazamiwa siku za mbeleni. Hii ni safari ya sita kwa safari za kimataifa kwa Ndege za Air Tanzania.
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI INATARAJIA KUJENGA MINARA 5 YA MAWASILIANO WILAYANI MAFIA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Injinia Atashasta Nditiye (Mb.) amezindua mnara wa Mawasiliano …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *