Maktaba ya Mwezi: July 2019

BALOZI IDDI ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA OFISI ZA SERIKALI YA ZANZIBAR DODOMA

Makamuwa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi ameoneshwa na kutembelea eneo ambalo zitajengwa Ofisi za Serikali hiyo eneo la Mahoma Makulu Jijini Dodoma. Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo hilo, Balozi Iddi ambaye aliambatana na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi …

Soma zaidi »

SERIKALI KUOKOA TAKRIBANI BILIONI 25 KWA MWAKA ZA KUZALISHA UMEME KIGOMA.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema Serikali inatarajia kuokoa takribani shilingi bilioni 25 zinazotumika kununua mafuta mazito ya kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme katika Mkoa wa Kigoma kwa mwaka. Akizungumza baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha umeme mkoani Kigoma , Julai 12, Mgalu alisema serikali itaokoa fedha hizo, baada …

Soma zaidi »

RC HOMERA AZINDUA MRADI WA MAJI CHAMALENDI, KATAVI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera tarehe 11.07.2019 amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Chamalendi kata ya Chamalendi Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe wilayani Mlele. Mradi huo wenye thamani ya Tsh 402,600,000/=  umeshuhudiwa na wananchi wa eneo hilo ambapo mradi huu utahudumia wananchi zaidi ya 10,000 Katika …

Soma zaidi »

UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA BAHI WAFIKIA ASILIMIA 87.6 KUKAMILIKA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma dokta Bilinith Mahenge amepongeza kasi na mshikamano uliotumika katika kujenga Hospitali ya Wilaya ya Bahi ambayo ujenzi wake umefikia wastani wa asilimia 87.6. Pongezi hizo amezitoa wilayani humo baada ya kushuhudia majengo saba ya hospitali hiyo yakiwa katika hatua ya mwisho kukamilika kutokana na mshikamano …

Soma zaidi »