Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikongea na wanachamawa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Uraiskutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri yaMuungano wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 6, 2020
RAIS DKT. MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM KATIKA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA TUME YA UCHAGUZI NEC NJEDENGWA JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Begi leye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume …
Soma zaidi »MIFUMO YA FEDHA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI NI MUAROBAINI WA RUSHWA
Na. Peter Haule na Farida Ramadhani, WFM, Simiyu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania kutambua umuhimu wa mifumo ya fedha iliyoanzishwa na Serikali kwa lengo la kupunguza vitendo vya rushwa na kuweka mazingira mazuri ya utawala bora. Waziri Bashungwa amesema hayo alipotembelea Banda la Wizara ya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATAJA SABABU ZA KUOMBA TENA KUGOMBEA URAIS
Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa suala lililomfanya kuchukua fomu ya kugombea muhula wa pili ni kuendelea kuwatumikia watanzania kwa kuendelea na kazi aliyoianza. Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Ofisi za CCM makao Makuu mjini Dodoma mara baada ya kutoka kuchukua …
Soma zaidi »