Veronica Simba – Dodoma Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, ameagiza Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Umeme Vijijini, Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Kwanza, mkoani Dodoma akatwe asilimia 10 ya malipo yake kutokana na kuchelewa kukamilisha kazi hiyo. Alitoa maagizo hayo, Agosti 12, 2020 baada ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 13, 2020
MAKAMU WA RAIS SAMIA AHITIMISHA MAONESHO YA WAKIZIMKAZI MWAKA 2020
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya Mkoba wa Ukili unaotengenezwa kwa kutumia wa kindu na Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Unguja alipotembelea Mabanda ya maonesho ya Sherehe ya siku ya Wakizimkazi yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa …
Soma zaidi »WAZIRI ZUNGU ATAKA KUSIMAMIWA VIZURI KWA TAFITI ZINAZOFANYIKA KUHUSU BIOTEKNOLOJIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mussa Azzan Zungu ameelekeza kusimamiwa vizuri kwa tafiti zinazofanyika kuhusu bioteknolojia na kuishauri Serikali kuhusu matumizi yake salama. Zungu ametoa maelekezo hayo hilo leo Agosti 12, 2020 wakati akizindua Kamati ya Kitaifa ya Usimamizi wa Matumizi Salama ya …
Soma zaidi »MAENEO YANAYOTENGWA KWA UWEKEZAJI YAPIMWE -NAIBU WAZIRI MABULA
Na Munir Shemweta, WANMM BUKOMBE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameziagiza idara za ardhi kwenye halmashauri kuhakikisha maeneo yanayotengwa kwa ajili ya shughuli za uwekezaji yanapimwa sambamba na kuwa na mpango wa matumizi bora ardhi katika vijiji. Dkt Mabula alisema hayo jana wilayani …
Soma zaidi »KAMPUNI YA GGML NA HALMASHAURI YA MJI WA GEITA WAMESAINI MAKUBALIANO YA MPANGO WA KUSAIDIA JAMII WENYE THAMANI YA SH BIL 9.2
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Richard Jordinson (kulia) akikabidhi mkataba wa makubaliano Mpango wa uwajibika kwa jamii mwaka huu (CSR) kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (kushoto) Mkuu wa Sheria kutoka Kampuni ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML), David Nzaligo na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU: TAKUKURU HAKIKISHENI WATANZANIA HAWARUBUNIWI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ihakikishe Watanzania hawarubuniwi ili watumie vizuri utashi wao wa kisiasa kuchagua viongozi bora. “Sote tunatambua kuwa Oktoba, mwaka huu Taifa letu litaendesha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani… mna jukumu zito la kuhakikisha Watanzania hawarubuniwi na …
Soma zaidi »SERIKALI IMEENDELEA KUWEKA MIKAKATI ENDELEVU YA KUWAWEZESHA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA UCHUMI WA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAVUNDE
Serikali imeendelea kuweka mikakati endelevu ya kuwawezesha vijana nchini kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali ili kuendelea uchumi wa Taifa. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Vijana …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA RADIO JAMII ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Mboga aina ya Kisamvu inayotengenezwa na Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Unguja Wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Redio Jamii Kati FM katika Kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na Mradi wa …
Soma zaidi »