Maktaba ya Mwezi: December 2020

SERIKALI YA ZANZIBAR IMELENGA KUENDESHA NA KUKUZA UCHUMI WA BULUU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameuhakikishia uongozi wa Taasisi ya Aga Khan kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane inaweka taratibu na sheria nzuri za kuwavutia wawekezaji.Rais Dk Hussein Mwinyi ameyasema hayo leo Ikuku Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo …

Soma zaidi »

TARURA INAVYOTATUA KERO ZA WANANCHI MANISPAA YA LINDI

Na. Bebi Kapenya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umeendelea kusimamia na kufanya ukarabati wa miundombinu ya barabara na madaraja katika maeneo mbalimbali Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi. Meneja wa TARURA Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Mhandisi Lusekelo Mwakyami alisema kuwa wameshakamilisha ujenzi wa barabara kwa …

Soma zaidi »

MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE AKUTANA NA WANANCHI WA KATA YA BWILINGU NA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na wananchi wa Bwilngu Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara yake jimboni hapo kwa kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Kata ya Bwilingu. Akizungumza katika kueleza nia ya ziara hiyo amesema kuwa dhamira ya ziara hiyo …

Soma zaidi »

BALOZI IBUGE ATAMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA

Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akisaini kitabu cha wageni katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini …

Soma zaidi »