Maktaba ya Kila Siku: January 11, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI GEITA, AWEKA NAE JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA CHATO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Uwanja wa Ndege wa Geita aliyewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021 Rais …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA AAHIDI KUPIGANI HAKI ZA WAANDISHI, ASISITIZA UZALENDO

Na A Suleiman Msuya Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amesema atatumia nafasi yake kutetea haki za waandishi wa habari nchini huku akisisitiza uzalendo na utaifa kwa kada hiyo. Kauli ya Waziri Bashungwa inakuja baada ya kuwasikiliza waandishi walioshiriki mjadala wa pamoja kuhusu changamoto wanazopitia katika kutekeleza …

Soma zaidi »

UWEPO WA REGISTA YA WATU WENYE ULEMAVU ITACHANGIA UPATIKANAJI WA HUDUMA BORA KWA WENYE ULEMAVU NCHINI – NAIBU WAZIRI UMMY

Uwepo wa rejista ya Watu wenye Ulemavu nchini utachangia upatikanaji wa huduma bora kwa kundi hilo lenye mahitaji maalum sambamba na kutambua mahali wanapoishi, aina ya ulemavu walionao, hali zao za kimaisha na namna ya kuwawezesha kupata mikopo ya asilimia 2 inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri, Ofisi …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AUAGIZA UONGOZI WA WILAYA YA ILEMELA KUHAKIKISHA HOSPITALI MPYA YA WILAYA INATOA HUDUMA KIKAMILIFU

Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Mwanza Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Mwanaidi Ali Khamis, amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Ilemela kuhakikisha vifaa tiba, umeme na maji vinapatikana kwa haraka katika Hospitali mpya ya Wilaya hiyo iliyojengwa katika eneo la Kabusungu  ili huduma za afya zianze kutolewa …

Soma zaidi »