Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC) , Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna ambavyo inapambana kulinda rasimali zake za asili na kudhibiti utoroshaji haramu wa fedha toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea. Akiwasilisha …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: March 2019
DKT. MAHIGA AZINDUA KAMPENI YA USAJILI NA UTOAJI VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga amezindua kampeni ya usajili wa watoto chini ya miaka mitano na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa kwa mikoa ya Dodoma na Singida. Akizindua kampeni hiyo, Dkt. Mahiga ameitaka RITA kuhakikisha inatunza taarifa za watoto wanazozichukua kupitia mtandao wa simu na kuhakikisha …
Soma zaidi »WAFANYABIASHARA TANZANIA SASA WANAWEZA KUTAFUTA MASOKO NCHINI CHINA KUPTIA E-COMMERCE
Makampuni ya Tanzania yametafutiwa fursa ya kutafuta masoko ya bidhaa zake nchini China kwa njia ya mtandao, hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kampuni ya China-Africa E-Commerce ndugu Zhigang Hou alipokutana na Balozi wa Tanzania Nchini China Mbelwa Kairuki jijini Chengdu katika jimbo la Sichuan. Makampuni ya Tanzania yanayohitaji kuuza bidhaa …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP; KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI 22 MACHI, 2019.
TANZANIA, UGANDA ZAJADILIANA ULINZI BOMBA LA MAFUTA
Ikiwa ni muendelezo wa majadiliano mbalimbali kuhusu mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania (EACOP), Kamati za Ulinzi na Usalama za mradi kutoka nchi hizo zimekutana jijini Kampala kwa lengo kujadili masuala ya usalama ya mradi huo. Kikao kati ya pande hizo mbili kilianza tarehe 18/3/2019 na …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: WAZIRI PROF. KABUDI AKIZUNGUMZIA UJUMBE ULIOFIKA NCHINI KUTOKA QATAR NA NORWAY
Aelezea ujio wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Qatar aliyefika nchini siku Jumatano tarehe 20 Machi, 2019 na kuondoka Alhamisi tarehe 21 Machi, 2019. Qatar kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji kwenye uchimbaji na uvunaji wa gesi pamoja na uwekezaji katika uwekezaji wa hoteli …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAISA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA UN WOMEN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Wanawake (UN-Women) Bi. Hodan Addou aliyeambatana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez, Ikulu jijini Dar …
Soma zaidi »SERIKALI KUANZA RASMI MAJADILIANO YA MRADI WA UCHAKATAJI NA UUZAJI GESI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ameeleza kuwa, Serikali imeamua kuanza rasmi majadiliano ya mradi wa uchakataji na uuzaji gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied Natural Gas-LNG project) mwanzoni mwa mwezi wa Nne mwaka huu Dkt Kalemani ameyasema hayo jijini Dodoma wakati wa kikao chake na watendaji wa kampuni …
Soma zaidi »VIJIJI 179 MKOANI IRINGA VIMEPANGWA KUPELEKEWA UMEME KWENYE MRADI WA REA III NA BACKBONE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya uenyekiti wa Mariamu Ditopile Mzuzuri, imefanya ziara ya kikazi mkoani Iringa iliyokuwa na lengo na kukagua kazi ya utekelezaji wa mradi wa usambazaji umeme vijijini ili kijiridhisha endapo fedha zinazoidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinatumika …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WAAJIRI KUHAKIKISHA WAFANYAKAZI WAGENI WANARITHISHA UJUZI KWA WATANZANIA
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amewataka waajiri wote nchini wenye wafanyakazi wa kigeni kuhakikisha kwamba Wafanyakazi hao wanawarithisha ujuzi Watanzania kwa mujibu wa sheria inavyoelekeza ili kuwajengea uwezo Watanzania na baadaye kutoa nafasi kwa Watanzania kushika nafasi hizo. Mavunde ameyasema hayo …
Soma zaidi »