Maktaba ya Mwezi: June 2020

SERIKALI IMEFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA HUSUSANI KATIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIBINGWA – NAIBU WAZIRI MOLLEL

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ametembelea na kukagua hali ya utaoaji wa huduma katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI pamoja na kuzumza na watumishi ili kufahamu changamaoto mbalimbali wanazozipata katika kutekeleza majukumu yao ya kazi za kila siku. Akizungumza na …

Soma zaidi »

WAZIRI KIGWANGALLA ATETA NA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI KUHUSU UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA WATALII

Na. Aron Msigwa – WMU. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania imejipanga na iko tayari kupokea watalii kutoka katika mataifa mbalimbali ikiwemo nchi ya Sweden na Israel ambazo raia wake wamekua wakitembelea vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania. Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo jijini Dar …

Soma zaidi »

MCHIMBAJI ALIYEPATA MADINI YA TANZANITE YENYE THAMANI YA SH. BILIONI 7.8 AMPONGEZWA NA RAIS MAGUFULI

Mchimbaji Bw. Saniniu Laizer (kushoto) akiwa amebeba madini ya Tanzanite amabyo yana jumla ya kilo 15 ambapo jiwe moja lina kilo 9. 2 la thamani ya bilioni 4.5 na lingine kilo 5.8 lenye thamani ya shilingi ya bilioni 3.3 wakati wa tukio la kuuza madini hayo kwa Serikali Naibu Waziri …

Soma zaidi »

WIZARA YA MAJI KUFANYA UTAFITI NA USANIFU WA MRADI MKUBWA MAJI KUTOKA ZIWA VICKTORIA KUPELEKA JIJINI DODOMA

Wizara ya Maji inatarajia kufanya utafiti mkubwa na usanifu wa mradi mkubwa wa maji wa kuchukua maji kutoka ziwa vicktoria kupeleka Mkoani Dodoma kwa kupitia Mkoani Singida katika mwaka wa fedha wa 2020/2021. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Prof.Kitila Mkumbo alitoa kauli hiyo kwenye hafla ya kupokea mabomba ya …

Soma zaidi »

WATANZANIA WAMEANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA JNHPP HATA KABLA HAUJAKAMILIKA – KATIBU MKUU NISHATI

Veronica Simba – Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amesema kuwa mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) umeanza kuwanufaisha Watanzania hata kabla ya kukamilika. Ameyasema hayo kwa njia ya simu, leo Juni 22, 2020 alipofanya mahojiano na mwandishi wa habari hii …

Soma zaidi »

NENDENI MKAZINGATIE VIAPO VYENU – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Magufuli amewataka viongozi waliapishwa kuzingatia viapo vyao katika kufanya kazi zao, Rais amesema hayo wakati akimwapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Idd Kimanta aliyemteua hivi karibuni, Ikulu jijini Dar Es Salaam. Rais amesema kuwa anasikitishwa kuona watu aliowateua, kuwaapisha na kuwaamini kwa niaba ya watanzania hawafanyi …

Soma zaidi »