Maktaba ya Kila Siku: July 10, 2020

SERIKALI IMESAINI MIKATABA MIWILI YA UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO WA JIJI LA DODOMA KM 112.3

Serikali imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa jiji la dodoma kwa kiwango cha lami ya njia nne yenye urefu wa kilometa 112.3 ili kupunguza msongamano katika jiji hilo mikataba iliyosainiwa ni baina ya Wakala wa Barabara (TANROADS) kwa niaba ya Serikali na wakandarasi wawili Civil Engineering …

Soma zaidi »

TANZANIA, CHINA ZAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO, KUKUZA MAENDELEO

Tanzania na China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia ili kuhakikisha kuwa nchi hizo zinakuwa na maendeleo endelevu.  Makubaliano hayo yamefanywa na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke, wakati alipokutana kwa mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge …

Soma zaidi »

UFUNGAJI WA SCANNER KUBWA YA KISASA AFRIKA INAYOTUMIA MIONZI KUKAGUA MIZIGO INAYOPITA BANDARI YA DSM, WARIDHISHA

Jengo la kuendeshea mitambo na udhibiti midaki (Scanner) kubwa na ya kisasa Afrika ya kukagua mizigo inayopita katika Bandari ya Dar Es Salaam, lilivyoonekana wakati wa ziara Wajumbe wa Kamati ya usimamizi wa Mradi wa uboreshaji wa Taasisi za usimamizi wa Rasilimali Asilia na Ukusanyaji wa Mapato (PSC) unayofadhiliwa na …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATEUA WAKILI MKUU WA SERIKALI NA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Julai, 2020 amemteua Bw. Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali (Solicitor General) Kabla ya uteuzi huo Bw. Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali na anachukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba. Wakati huo …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATEUA MKUU WA WILAYA, MKURUGENZI NA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA 2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 09 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya 1 na Mkurugenzi Mtendaji 1, kama ifuatavyo; Kwanza, Rais Magufuli amemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora. Kabla ya …

Soma zaidi »