Maktaba ya Mwezi: August 2020

NAIBU WAZIRI MABULA AWATAKA WATENDAJI ARDHI KUTOA ELIMU YA SHERIA MPYA YA FEDHA KUHUSU UMILIKISHAJI ARDHI

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na viongozi pamoja na watendaji wa sekta ya ardhi katika wilaya ya Biharamulo katika ziara yake ya kikazi mkoani Kagera. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo Kanali Mathias Kahabi jana. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba …

Soma zaidi »

MGANGA MKUU WA SERIKALI AWAAGIZA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KUONGEZA JITIHADA KATIKA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO.

NA WAMJW- KILIMANJARO Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameagiza ndani ya miezi sita (6) Waganga Wakuu wote wa mikoa, Waganga Wakuu wa Wilaya na Waganga wafawidhi wa hospitali zote nchini kuongeza kasi katika kupunguza zaidi vifo vya mama na mtoto kwa kuboresha huduma na usimamizi katika maeneo yao. …

Soma zaidi »

TUFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI – DKT GRACE MAGEMBE

Na WAMJW- ARUSHA Mkurugenzi wa tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Watoa huduma za Afya wote nchini kufanya kazi kwa kushirikiana baina yao na viongozi wao ili kuboresha huduma za afya nchini. Dkt. Grace, ametoa wito huo wakati alipofanya …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA MIKAKATI KUKAMILISHA UJENZI MRADI HOSPITALI YA KWANGWA

Na Mwandishi Wetu, MUSOMANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa, Wizara ya Afya pamoja na Mshauri Mwelekezi wa mradi Chuo Kikuu cha Ardhi kukutana na kupanga mikakati kuhakikisha ujenzi mradi wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara (KWANGWA) unakamilika kwa …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NYONGO AZITAKA BENKI KUSHIRIKIANA NA WIZARA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA MADINI

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akizungumza jambo na wafanyakazi wa benki ya CRDB wakati wa ufungunzi wa mafunzo ya ushirikiano kati ya Wizara ya Madini na benki hiyo iliyofanyika Agosti 6, 2020 jijini Dodoma Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo azitaka Benki zilizopo nchini kushirikiana na Wizara ya Madini …

Soma zaidi »

SADC NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAJADILI, KUBORESHA RASIMU ZA NYARAKA ZA KISERA NA KIMKAKATI

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ngazi ya Makatibu Wakuu wamekutana na kujadili rasimu ya mpango mkakati elekezi mpya wa maendeleo wa kanda (2020 – 2030) pamoja na rasimu ya dira ya SADC (2020 – 2050) kwa njia ya (Video Conference) jijini Dar …

Soma zaidi »