Maktaba ya Mwezi: August 2020

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGEA NA WANACHAMA WA DODOMA BAADA YA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikongea na  wanachamawa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Uraiskutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri yaMuungano wa …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM KATIKA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA TUME YA UCHAGUZI NEC NJEDENGWA JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Begi leye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume …

Soma zaidi »

MIFUMO YA FEDHA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI NI MUAROBAINI WA RUSHWA

Na. Peter Haule na Farida Ramadhani, WFM, Simiyu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania kutambua umuhimu wa mifumo ya fedha iliyoanzishwa na Serikali kwa lengo la kupunguza vitendo vya rushwa na kuweka mazingira mazuri ya utawala bora. Waziri Bashungwa amesema hayo alipotembelea Banda la Wizara ya …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATAJA SABABU ZA KUOMBA TENA KUGOMBEA URAIS

Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa suala lililomfanya kuchukua fomu ya kugombea muhula wa pili ni kuendelea kuwatumikia watanzania kwa kuendelea na kazi aliyoianza. Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Ofisi za CCM makao Makuu mjini Dodoma mara baada ya kutoka kuchukua …

Soma zaidi »

MAHAKAMA KONDOA YAMALIZA MASHAURI 184 KATI YA JANUARI NA JULAI

Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Kondoa akitoa ufafanuzi juu ya maboresho ya miundombinu ya Mahakama yalivyorahisisha utoaji haki kwa wakati. Mahakama ya wilaya ya Kondoa imesikiliza na kumaliza mashauri ya jinai na madai 184 kati ya mashauri 262 yaliyokuwepo katika Mahakama za wilaya za Kondoa na Chemba. …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA AMEAGIZA KUSITISHWA UTOAJI WA LESENI ZA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE, AMEELEKEZA TIMU MAALUM KUCHUNGUZA MIKATABA

Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na biashara Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza katibu Mkuu wa wizara ya viwanda na Biashra Prof. Riziki Shemdoe kusitisha utoaji leseni mpya ya uchimbaji wa makaa ya mawe kwa kampuni ya TANCOAL ENERGY LIMITED na ameagiza timu maalum kuchunguza …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SIMA ATOA MIEZI MITATU KUJENGWA MTAMBO WA KUCHAKATA MAJI MACHAFU KATIKA KIWANDA CHA KEDS KIBAHA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira  Mhe. Mussa Ramadhani Sima amefanya ziara katika kiwanda cha Keds Tanzania Company ltd kilichopo wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani, ili kujionea namna wanavyohifadhi mazingira wakati wa uzarishaji wake. Katika ziara hiyo Mhe. Sima aliambatana na Mkuu …

Soma zaidi »