Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais – Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdallah mara baada ya kufanya mazungumzo baina yao, ambapo Mhe. Ummy alikwenda Ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha. Kulia ni …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: December 2020
WAITARA ATETA NA WAFANYABIASHARA CHUMA CHAKAVU, ARIDHISHWA KIWANDA CHA KUREJELEZA CHUPA ZA PLASTIKI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara wa chuma chakavu wa jijini Mwanza aliofanya kikao nao kwa lengo la kusikiliza changamoto zao na kutoa elimu ya utaratibu wa vibali. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara amewataka …
Soma zaidi »BYABATO AKERWA NA CHANGAMOTO NDOGO ZA UKOSEFU WA UMEME
Kufuatia uwepo wa Changamoto mbali zinazohusu Umeme Maeneo mengi hapa Nchini, Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) ametoa mwelekeo wa Wizara husika katika kutafutia Ufumbuzi Kero sugu za Umeme zinazowakabili Wananchi ambao kipekee ndio Watumiaji wa Nishati hiyo. Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) Naibu Waziri …
Soma zaidi »SHERIA, MWENENDO WA MASHAURI NA HUKUMU ZIANDIKWE KWA LUGHA YA KISWAHILI – DKT MWIGULU NCHEMBA
Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. Serikali imedhamiria kuwasaidia kwa …
Soma zaidi »NIMEDHAMIRIA KUENDELEZA JITIHADA ZA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO ZILIZOBAKIA – WAZIRI UMMY MWALIMU
Na Lulu Mussa, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu hii amefanya ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kwa lengo la kujitambulisha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Rais …
Soma zaidi »TIJA KWENYE KILIMO NDIO KIPAUMBELE – PROF. MKENDA
Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazo nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha mazo mengi zaidi na kukuza uchumi wa kaya na taifa. Waziri wa Kilimo amesema hayo (21.12.2020) wakati akikakabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Kilimo Japhet …
Soma zaidi »DKT. GWAJIMA AMETAKA PESA ZA DAWA ZIHESHIMIKE
Viongozi wa vituo vya kutolea huduma za afya vya umma wametakiwa kuheshimu fedha za dawa kadri zilivyopangwa kwenye bajeti ya Serikali kuu na vyanzo vingine ili kuweza kuondoa kero ya upatikanaji wa dawa kwenye vituo vya afya nchini. Rai hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, …
Soma zaidi »HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE
Hospitali ya Sanitas yapewa siku saba kukamilisha malimbikizo ya mishahara kwa watumishi wake agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana Patrobas Katambi mara baada ya kuzuru ofisini hapo kwa lengo la kujiridhisha na masuala ya kisera yanayohusiana na ajira, kazi na vijana. Akiwa ofisini hapo, …
Soma zaidi »WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT MWIGULU AAGIZA RITA KUHAMIA DODOMA
Serikali imeutaka Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wenye maskani yake Jijini Dar es salaam kuanza mchakato wa haraka kuhakikisha unahamia Jijini Dodoma. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba tarehe 21 Disemba 2020 wakati akizungumza na watumishi wa taasisi hiyo akiwa katika …
Soma zaidi »LUKUVI AAGIZA CHUO CHA ARDHI MOROGORO KUTAFUTA GHARAMA HALISI YA URASIMISHAJI MAKAZI
Na Munir Shemweta, ARUSHAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amemuagiza Mkuu wa Chuo cha Ardhi Morogoro Huruma Lugala kukokotoa gharama halisi za uendeshaji zoezi la urasimishaji ili aweze kupanga bei ya urasimishaji anayopaswa kulipa kila wananchi. Lukuvi ametoa agizo hilo tarehe 21 Desemba jijini Arusha alipokwenda …
Soma zaidi »