Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

UTEKELEZAJI WA MRADI WA REA III WILAYANI IGUNGA

  Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ameliagiza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuongeza ukubwa wa transifoma kutoka 100kV hadi kufikia 200kV katika kijiji cha Mwamashimba wilayani Igunga mkoani Tabora kutoka mahitaji makubwa ya umeme. Mgalu alitoa maagizo hayo wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa usambazaji na …

Soma zaidi »

WAZIRI DR. KALEMANI – TUNA UMEME WA KUTOSHA KUWAHUDUMIA WATANZANIA

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kwamba, kwa sasa umeme unaozalishwa nchini unatosheleza mahitaji ya wananchi; bali jitihada za kuzalisha umeme mwingi zaidi zinazoendelea kufanywa na Serikali, ni kwa ajili ya matumizi ya baadaye. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Mwekezaji kutoka Kampuni ya Jos’ Hansen ya Ujerumani, Michael Kabourek, …

Soma zaidi »

NACHINGWEA YATANGAZA UZINDUZI WA MSIMU WA UUZAJI KOROSHO 2018/2019

Pamoja na uzinduzi huo, Mhe. Rukia ameendelea kuunga mkono wito wa serikali kwa kukaribisha wawekezaji wa viwanda vya kubangua korosho wilaya humo ili wakulima wanufaike zaidi na kuongeza thamani ya zao hilo sambamba ya ajira kwa wakulima na watakao ajiriwa katika viwanda vhivyo. Tarehe ya Uzinduzi 13/10/2018 siku ya Jumamosi …

Soma zaidi »