Veronica Simba – Dodoma Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), akisema imefanya kazi nzuri katika kushughulikia changamoto mbalimbali za umeme nchini. Alibainisha hayo Juni 17, 2020 alipokutana na kuzungumza na Bodi hiyo jijini Dodoma, akiwa ameambatana na Naibu wake, Subira …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: June 2020
NAIBU WAZIRI UJENZI AAGIZA KIPANDE CHA BARABARA NJOMBE -MORONGA KIKAMILISHWE IFIKAPO MWEZI OCTOBA MWAKA HUU
Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Elias kwandikwa amemuagiza mkandarasi anayejenga barabara ya Njombe kuelekea wilayani Makete kipande cha Njombe-Moronga kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa kipande hicho na kuhakikisha imekamilika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo katika ziara …
Soma zaidi »DKT. CHAULA AKAGUA UJENZI WA JENGO LA UMOJA WA POSTA WA AFRIKA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt. Zainabu Chaula (wa kwanza kushoto) akipata maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya PAPU, Arusha kutoka kwa msimamizi wa ujenzi, Mhandisi Hanington Kagiraki (wa kwanza kulia) ni Naibu Katibu Mkuu wa Sekta hiyo, Dkt. Jim Yonazi. …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA VIONGOZI 3 WA MKOA WA ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Juni, 2020 ametengua uteuzi wa viongozi 3 wa Mkoa wa Arusha na kufanya uteuzi wa viongozi watakaoshika nyadhifa hizo. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo na …
Soma zaidi »WAZIRI WA AFYA AZINDUA TIBA MTANDAO MOI, ATAKA IUNGANISHWE BURUNDI, RWANDA, COMORO
WAMJW-Dar es Salaam Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezindua kituo cha Tiba Mtandao cha Taifa kilichopo Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) ambacho kitawahudumia wagonjwa wa hospitali za halmashauri, wilaya, rufaa na hospitali nyingine nchini.Kabla ya kuzindua kituo hicho, Waziri wa Afya, Ummy …
Soma zaidi »SERIKALI KUONGEZA IDADI YA NDEGE KUBEBA MINOFU YA SAMAKI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba, wakati wa mkutano wa pili wa kujadili namna ya kurahisisha usafirishaji wa minofu ya samaki kutokea Kiwanja cha Ndege cha Mwanza uliofanyika jijini Dodoma. Serikali imewaahidi wafanyabiashara wa minofu ya samaki kuongeza idadi …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AZITAKA OFISI ZA HALMASHAURI NA WILAYA NCHINI KUZITUMIA OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA
Na Munir Shemweta, WANMM KILIMANJARO Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kuweza kukamilisha ujenzi wa miradi ya jengo la ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Hai lililopo Bomang’ombe na ofisi pamoja na nyumba za Watumishi wa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI
Makamu wa Rais wa Jarmhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wakiwa na Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye mara baada ya Rais Ndayishimiye kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Burundi Juni 18,2020 katika Uwanja wa Ingoma Stadium Nchini …
Soma zaidi »HUDUMA YA KUVUNJA MAWE KWENYE FIGO KWA TEKNOLOJIA YA KISASA YAANZA MLOGANZILA
Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila imeanza rasmi huduma ya kuvunja mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa kutumia njia ya mawimbi mshituko kwa kitaalamu extracorporeal shock wave lithotripsy (ESWL) . Kuanzishwa kwa matibabu haya ni mwendelezo wa kutekeleza juhudi za Serikali kuboresha huduma bobezi za kibingwa nchini ili kuongeza …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI NYONGO: MIGOGORO YA WACHIMBAJI KUTATULIWA KISHERIA
Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo mwenye Koti akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vikundi 14 Kwahemu Daudi Elia akitoa maelezo ya uchimbaji kwenye eneo la machimbo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Imeelezwa kuwa, utatuzi wa migogoro ya wachimbaji wadogo wa madini hutatuliwa kwa kufuata Sheria na taratibu zinazosimamia sekta ya …
Soma zaidi »