Maktaba ya Mwezi: January 2021

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MWAMBE AMEIAGIZA EPZA KUJIKITA KATIKA UJENZI WA MAENEO MAPYA YA VIWANDA KULINGANA NA BIASHARA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) akiongea na menejimenti na watumishi wa EPZA alipofanya ziara akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa Wizara ya Viwanda na Biashara Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe …

Soma zaidi »

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMEWATAKA WATUMISHI WA TBS NA WMA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe wakuwa wameambatana na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Athuman Ngenya wakipokea maelezo kutoka Mkuu wa maabara ya kemia, Florian Bataganwa wakati wakikagua maabara za Shirika la Viwango Tanzania …

Soma zaidi »

PROFESA MCHOME AITAKA TUMESHERIA KUFANYA TATHMINI YA SHERIA KUELEKEA UCHUMI WA JUU

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Profesa Sufini Mchome ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (TUMESHERIA) kuangalia mifumo na sheria itakayoiwezesha Tanzania kuelekea uchumi wa juu kutoka katika nchi za uchumi wa kipato cha kati uliopo sasa. Akizungumza wakati wakifungua mkutano wa 15 wa Baraza la Wafanyakzi la Tume …

Soma zaidi »

DKT. FAUSTINE NDUGULILE AITAKA TTCL IACHE KUFANYA BIASHARA KWA MAZOEA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi akizungumza kumkaribisha Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile (aliyeketi katikati) kabla ya kufungua kikao cha utendaji kazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, Dodoma. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Waziri Kindamba Waziri wa …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI KASEKENYA AWATAKA WATENDAJI KUFANYA MAAMUZI

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (aliyevaa suti ya kaki) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Uchukuzi, lililofanyika kwa siku mbili mkoani Mwanza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameitaka menejimenti na viongozi wa taasisi wa Sekta ya Uchukuzi …

Soma zaidi »

MKOA WA RUVUMA WAONGOZA KITAIFA MARA MBILI MFULULIZO KWA UZALISHAJI WA CHAKULA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Chritina Mndeme amewapongeza wakulima Mkoani Ruvuma kwa kuongoza mara mbili mfululizo kitaifa katika uzalishaji wa mazao ya chakula nchini. Mndeme ametoa pongezi hizo wakati anafungua Kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea mjini Songea. Akizungumzia muhtasari wa …

Soma zaidi »

WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AMTAKA MKANDARASI UJENZI DARAJA LA MAGUFULI JIJINI MWANZA KUTOA AJIRA ZA VIBARUA KWA WAZAWA

Muonekano wa sasa wa Daraja la Kigongo-Busisi, lenye urefu wa wa mita 3200, na barabara unganishi (km1.66). Daraja hili linagharamiwa na Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kwa asilimia 100. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli  jijini Mwanza, kutoa ajira …

Soma zaidi »