Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ametoa siku kumi kwa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kubaini na kuwanyang’anya maeneo, wawekezaji waliopatiwa vitalu katika ranchi za taifa ambao wamebadili matumizi ya ardhi kinyume na makubaliano ya mikataba yao. Waziri Ndaki amebainisha hayo jana (12.01.2021) wakati alipotembelea Ranchi ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: January 2021
WAZIRI LUKUVI ATAKA WATENDAJI WA MITAA KUSIMAMIA ARDHI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanashusha usimamizi wa masuala ya ardhi kwa watendaji wa mitaa na vijiji na sio kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji kama ilivyo sasa ili kuepuka migogoro ya ardhi, ujenzi holela na kurahisisha ufuatiliaji …
Soma zaidi »KAIMU KATIBU MKUU NISHATI, AKAGUA ENEO LA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA MAJI YA MTO RUHUDJI
Muonekano wa sehemu moja ya eneo la Mto Ruhudji ambalo limegawanyika mara mbili katika eneo moja, utakapojengwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya mto huo, lililopo kati ya Kijiji cha Itipula na Lupembe, Wilayani Njombe Mkoani Njombe, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja …
Soma zaidi »WAZIRI MWAMBE ATOA UFAFANUZI WA UPATIKANAJI WA MAFUTA YA KUPIKIA NCHINI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amewahakikishia wananchi kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta ya kula itatengemaa mara baada ya kuanza upakuaji wa mafuta ya kula yanayoingizwa kutoka nje ya nchi kupitia bandari yetu ya Dar es salaam. Changamoto ya uhaba wa mafuta ya kula umetokana na upungufu wa …
Soma zaidi »MRADI WA NYUMBA ZA MAGOMENI KOTA UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 90 – DC CHONGOLO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amesema ubunifu wa kuweka huduma za kijamii walioonesha Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika nyumba za makazi Magomeni (Magomeni Kota,) umeiongezea thamani wakala hiyo na kwa kiasi kikubwa wakazi wa eneo hilo hawatapata changamoto za huduma za kijamii ikiwemo maji pamoja na maduka …
Soma zaidi »MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AMPONGEZA NA KUMSHUKURU FLAVIANA MATATA KWA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU CHALINZE
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amempongeza na kumshukuru Mwanamitindo wa Kimataifa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Flaviana Matata, Bi.Flaviana Matata kwa kujitoa kwake kusaidia masuala ya elimu ndani ya Jimbo hilo. Awali akizungumza wakati wa kutoa shukrani zake kwa mwanamitindo huyo, Mbunge Ridhiwani Kikwete alisema wameupokea kwa mikono …
Soma zaidi »RAIS NYUSI: RAIS MAGUFULI ANASHUGHULIKIA MAISHA YA WATU
Na Immaculate Makilika- MAELEZO, Chato Rais wa Msumbiji, Felipe Jacinto Nyusi amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anashughulikia maisha ya wananchi kwa kuendelea kuboresha sekta ya huduma za afya nchini. Rais Nyusi amesema hayo leo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa …
Soma zaidi »RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI GEITA, AWEKA NAE JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA CHATO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Uwanja wa Ndege wa Geita aliyewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021 Rais …
Soma zaidi »UJENZI WA BARABARA ZA KIWANGO CHA LAMI KATIKA MJI WA SERIKALI
Ujenzi wa barabara za kiwango cha lami katika mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma wenye gharama ya bilioni 88.1 na urefu wa kilomita 51.2 umefikia asilimia 56. Hayo yamesemwa na Katibu wa kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na Uratibu wa ujenzi wa mji wa Serikali, Meshack Bandawe wakati akikagua maendeleo ya …
Soma zaidi »WAZIRI BASHUNGWA AAHIDI KUPIGANI HAKI ZA WAANDISHI, ASISITIZA UZALENDO
Na A Suleiman Msuya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amesema atatumia nafasi yake kutetea haki za waandishi wa habari nchini huku akisisitiza uzalendo na utaifa kwa kada hiyo. Kauli ya Waziri Bashungwa inakuja baada ya kuwasikiliza waandishi walioshiriki mjadala wa pamoja kuhusu changamoto wanazopitia katika kutekeleza …
Soma zaidi »