Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Shukrani Manya kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020. Rais Dkt. John Magufuli leo tarehe 11 Desemba, 2020 amemuapisha Prof. Shukrani …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: December 2020
WAZIRI BASHUNGWA: TUNATAKA MIPANGO NA MIKAKATI YA VYAMA VYA MICHEZO, KAZI IMEANZA
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amemwaleza Waziri Mstaafu wa Wizara hiyo, Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa yeye na Naibu wake, Abdallah Ulega, wameanza kazi mara na moja ya mageuzi watakayoyaendeleza ni kutaka kuona michezo inakuwa na …
Soma zaidi »HALMASHAURI YA CHALINZE MKOANI PWANI YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani imetekeleza maagizo ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa kutengeza madawati 355, meza na viti 221, huku Mbunge wa Jimbo hilo Ridhiwani Kikwete akichangia shilingi milioni 3.67. Akizungumza wakati wa kupokea madawati hayo zoezi lilofanyika Mioni Wilayani Bagamoyo, Mbunge Kikwete amesema kuwa madawati hayo ni kwaajili …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AUTAKA UONGOZI WA WIZARA YA NISHATI KUFANYA KAZI KWA KASI NA UBUNIFU
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amewataka watumishi wa Wizara ya Nishati kufanya kazi kwa kasi na kwa ubunifu ili kuhakikisha sekta ya Nishati inaendelea kukua ili kuwezesha upatikanaji wa umeme wa kutosha na wa uhakika kwa maendeleo ya Viwanda na kuliletea Taifa maendeleo. Waziri Kalemani ameyasema hayo Desemba 10, …
Soma zaidi »SERIKALI KUENDELEA KUTATUA KERO ZA MIPAKA CHALINZE – KIKWETE
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewahakikishia wananchi wa Kata ya Pera na Chalinze kuwa Serikali itaendelea kutatua kero za migogoro ya Ardhi katika Halmashauri hiyo wakati wa ziara ya kukutana na kuwashukuru Wananchi wa jimbo hilo kufuatia ushindi mkubwa walioupata. Akiongea na wananchi wa Kata ya Pera , …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA NEMC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais na Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika siku yake ya pili ya kikao Kazi kinachoendelea leo Disemba 11, 2020 …
Soma zaidi »DKT. CHAMURIHO – ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAZOEA
Naibu Waziri Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, akisisitiza jambo kwa menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za Wizara, jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Dkt. Leonard Chamuriho, kulia ni Katibu Mkuu-Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga na kushoto ni Kaimu …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akimkabidi taarifa ya Utekelezaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kupokelewa rasmi katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma. Katibu …
Soma zaidi »WAZIRI WA UWEKEZAJI PROF. KITILA MKUMBO AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki. Kulia ni Katibu Mkuu Ikulu, Dkt. Moses Kasiluka. Kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko. …
Soma zaidi »HUNGARY NA TANZANIA ZATILIANA SAHIHI UFADHILI WA WANAFUNZI WA KITANZANIA
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Abdallah Possi akisaini makubaliano ya ufadhili wa masomo kwa wanafunzi 30 wa Kitanzania Nchini Hungary. Tanzania na Hungary zimetiliana saini makubaliano ya ufadhili kwa Wanafunzi zaidi ya 30 wa Kitanzania kwenda kusoma katika vyuo vikuu vya Nchini Hungary katika kipindi cha miaka …
Soma zaidi »